Headlines News :
Home » » PAMBANO LA MIYEYUSHO LAYEYUKA

PAMBANO LA MIYEYUSHO LAYEYUKA

Written By Bashir Nkoromo on Wednesday, June 20, 2012 | 9:23 AM

Pambano la masumbwi kati ya bondia Francis Miyeyusho na  mmalawi John Massamba lililokuwa lifanyike ijumaa. limeahirishwa mpaka hapo tarehe itakapotajwa tena kuwa miyayusho atacheza na nani, lini na wapi.  
     Hayo yamekuja kutokana na  bondia John masamba toka Malawi akiwa hana hadhi ya kucheza na miyeyusho na wasiwasi wa afya yake,bondia huyo toka Malawi mwenye rekodi ya mapambano ya kupigwa mawili na kushinda mawili,amecheza mwaka 1969, inaonekana ni mbovu na rekodi yake ya utata ukilinganisha na miyeyusho mwenye mapambano 42 ya kueleweka.
    Kutokana na utata huo wa bondia wa malawi na kutokamilisha malipo na vibali vyote toka Utamaduni na michezo,  Hivyo mpambano umesitishwa mpaka taratibu zitakapokamilika za upande wa vibali na  kumleta bondia mzuri wa kucheza na Francis miyeyusho.mapambno mengine yatakuwepo kama kawaida katika ukumbi wa Dar Live kati ya Francis Cheka na Jafet Kaseba
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template