Headlines News :
Home » » MAPOKEZI YA MBELGIJI WA YANGA

MAPOKEZI YA MBELGIJI WA YANGA

Written By Bashir Nkoromo on Wednesday, July 4, 2012 | 10:15 PM

 Kocha mpya wa Yanga, Mbelgiji Thom Saintfiet amewashawasili nchini Tanzania kwa ajili ya kuanza kibarua cha kuinoa timu hiyo. zifuatatazo ni picha mbalimbali wakati wa mapokezi yake alipotua Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam na kulakiwa na mamia ya wapenzi wa klabu hiyo.Mapokezi yake ni tangu anatokea ndani ya Uwanja wa Ndege, hadi akiwa ndani ya gari tayari kwa safari ya Jangwani.
 Akiwa na viongozi wa Yanga
 Akiziungumza na waandishi wa Habari
 Akionyesha kuwa na uso wa furaha
 Akipanda gari
 Akiwa katika gari na kiongozi wa Yanga
Mashabiki wa Yanga wakishangilia ujio wa kocha huyo
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template