Mshambuliaji wa Simba, Edward Christopher (kulia) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Sofapaka ya Kenya , Anthony Kimani katika mechi ya kirafiki ya Kimataifa, iliyopigwa leo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Sofapaka ilishinda 3-0. Kushoto ni Kikosi cha Simba iliyodunguliwa. (Picha na Dande Junior)
Home »
» SIMBA HOI KWA PAKA, YAPIGWA 3-0 NA SOFAPAKA
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !