Headlines News :
Home » » YANGA KUMENYANA NA JKT RUVU BILAKOCHA MKUU LEO

YANGA KUMENYANA NA JKT RUVU BILAKOCHA MKUU LEO

Written By Bashir Nkoromo on Saturday, September 22, 2012 | 2:59 AM

Klabu ya Yanga jioni hii inajitupakwenye uwanja waTaifa jijini Dar esSalaam, kumenyana  na  JKT Ruvu, ikiwa ni amechi yake ya tatu tangu kuanza kwa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Habari zinasema, Yanga inatarajiwa kutinga dimbani huku Kocha wake Mkuu  Tom Saintfiet akiwa hayupo kufuatia habari kwamba Mwenyekiti wa Klabu hiyoYussuf Manji amemtimua.

Kwamujibu wa habari hizo, kocha huyo aliyeletwa na Yanga kwa mbwembwe kibao, ametyimuliwana Manji kufuatia Yanga kuanza Ligi kuu vibaya hasa kufuatia kichapo ilichopigwa na Mtibwa Sugar mjini Morogoro majuzi.

Mbali ya Kocha huyo, jana aliyekuwa Ofdisa habari wa Yanga na Katobui Mkuu wa timu hiyo nao wamefungashiwa virango kwa sababu zinazoelezwakutoisaidia klabu.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template