Headlines News :
Home » » CHOKORAA AINOGESGA MSONDO BAND, MAX ILALA, DAR

CHOKORAA AINOGESGA MSONDO BAND, MAX ILALA, DAR

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, November 11, 2012 | 8:18 PM


Msanii wa bendi ya Mapacha Watatu Khalid Chokolaa (kushoto) akiimba sambamba na wasanii wa bendi ya msondo Muhidini Gulumo Juma Katundu na Shabani Dede picha na www.burudan.blogspot.com

Wasanii wa bendi ya msondo ngoma kushoto ni Said Mabdera na Shabani Dede wakitoa burudani sambamba na msanii wa bendi ya Mapacha Watatu Khalid Chokolaa alipotembelea bendi hiyo iliyo na Maskani yake Ilala katika ukumbi wa Max Bar picha na www.burudan.blogspot.com

msanii wa bendi ya Mapacha Watatu Khalid Chokolaa kulia akiwa sambamba na wapuliza Ara wa bendi ya Msondo ngoma kushoto ni Shabani Lendi, Hamisi Mnyupe na Roman Mng'ande alipotembelea bendi hiyo kongwe kwa ajili ya kupata burudani pamoja na kutaka kujua miziki ya Asili ya Tanzania Ilala katika ukumbi wa Max Bar picha na www.burudan.blogspot.com

Msanii wa bendi ya Msondo Ngoma Romani Mng'ande akiimba sambamba na mwimbaji wa bendi ya Mapacha WAtatu Khalidi Chokolaa kulia wakati alipotembelea bendi hiyo mwishoni mwa wiki
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template