Mwanamuziki mkongwe nchini, Kassim Mapili, akifanya vitu vyake pamoja na wasanii wa Mjomba Band, katika hafla ya katikasherehe za uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha umuhimu wa lishe bora yenye lengo
la kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto ulioandaliwa na Shirika la Watoto la Save the Children kwa kushirikiana na Jukwaa la Lishe Tanzania (PANITA) katika Uwanja wa Ilulu, Mkoani Lindi mwishoni
mwa wiki.
Msanii wa Mashairi, Mrosho Mpoto, akikonga nyoyo za wakazi wa Lindi waliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha umuhimu wa lishe bora yenye lengo la kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto ulioandaliwa na Shirika la Watoto la Save the Children kwa kushirikiana na Jukwaa la Lishe Tanzania (PANITA) katika Uwanja wa Ilulu, Mkoani Lindi mwishoni mwa wiki.
Home »
» MAPILI, MPOTO WACHANGAMSHA UZINDUZI KAMPENI YA LISHE LINDI
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !