Headlines News :
Home » » MFULULIZO WA MAHOJIANO YA WADAU WA FILAM NA MUZIKI YALIYOFANYWA NA TFCA KUHUSU MAREKEBISHO YA SHERIA YA USHURU WA BIDHAA SURA YA 147

MFULULIZO WA MAHOJIANO YA WADAU WA FILAM NA MUZIKI YALIYOFANYWA NA TFCA KUHUSU MAREKEBISHO YA SHERIA YA USHURU WA BIDHAA SURA YA 147

Written By Bashir Nkoromo on Saturday, December 22, 2012 | 4:52 AM

Mfululizo wa 147 Critics ambayo ni  mahojiano ya wadau wa Filamu na Muziki yaliyofanywa na TFCA- Tanzania Film Critics Association(On line Platform) kuhusiana na marekebisho hayo ambayo yatafanya kuanzia mwezi wa January 2013 bidhaa zote za Filamu na Muziki zilizopo hapa Tanzania kuwekewa Stamp/Sticker kwa ajili ya kurasimisha, Kumpatia kipato halali msanii na Kukusanya mapato ya serikali yanayotokana na uuzaji wa kazi husika.

Sheria hii ina changamoto nyingi ambazo kama hazitatatuliwa zinaweza kuifanya sheria husiaka isfikie malengo yake,Je wadau wanasemaje kuhusiana na hilo?   MMMMBOFYA HAPA
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template