Headlines News :
Home » » SHEREHE ZA MIAKA 15 YA FM ACADEMIA

SHEREHE ZA MIAKA 15 YA FM ACADEMIA

Written By Bashir Nkoromo on Saturday, December 15, 2012 | 7:13 AM


 Keki ya kutimiza miaka 15 ya bendi ya FM Academy. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Nyoshio El Sadaat (wa pili kushoto) akikata keki pamoja na wwadau wa muziki, kushoto Abbas Mwinyi 'Sadam Hussein' Felician Chaula.
 Wadau wakifungua Champagne wakati wa hafla hiyo.
 Waimbaji wa FM Academia wakiimba moja ya nyimbo ao
 Mashabiki wakijimwaga na miondoka ya ngwasuma 
 Shoo nayo haikuwa nyuma

Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template