Headlines News :
Home » » WASANII WAMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA KUWAJALI

WASANII WAMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA KUWAJALI

Written By Bashir Nkoromo on Friday, December 21, 2012 | 6:37 AM

 Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza mwanamuziki wa siku nyingi, Waziri Ally, kundi la wasanii, wakiwemo wanamuziki walipofika Ikulu Dar es Salaam, kumshukuru kwa kuwajali kufuatia kutoa tuzo kwa wasanii na wanamuziki wakongwe kama Bi Kidude. Wapili kushoto ni Mwafa FA
 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wasanii waliofika Ikulu jijini Dar es salaam, leo kumpongeza na kumshukuru kwa kuonyesha kuwajali wasanii.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mwanamuziki mkongwe King Kikii baada ya wasanii hao kupiga naye picha ya pamoja
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template