Headlines News :
Home » » BONDIA MTANZANIA THOMAS MSALI ALIVYOMKOROGA BERNARD MACKOLIECH WA KENYA

BONDIA MTANZANIA THOMAS MSALI ALIVYOMKOROGA BERNARD MACKOLIECH WA KENYA

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, January 13, 2013 | 7:56 AM


Bondia Mtanzania Thomas Mashali kushoto akiwa amemgalagaza bondiaBernad Mackoliech na kwenda chini akimsubili ili amwendelezee kipondo wakati wa mchezo wao wa kugombania ubingwa wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Friends Conner, Manzese jijini Dar es Salaam na Mashali kuibuka na ushindi wa K,O katika raundi ya sita

 Bondia Bernad Mackoliech wa kenya na Mtanzania Thomas Mashali wakioneshana ufundi wa kutupiana makonde wakati wa mchezo wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki Mashali alishinda kwa K,O raundi ya sita
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza katika mpambano huo wa ubingwa wa Afrika Mashariki

Refarii Mark Hatia akimwesabia Bondia Bernad Mackoliech huku akimuamuluThomas Mashalikwenda katika kona nyeupe baada ya kumtwanga konde zito lililomsababisha kulamba sakafu wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki 

Kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi wa kinondoni Charles Kenyela akimvisha ubingwa wa Afrika Mashariki bondia Thomas Mashali baada ya kumpiga Bernad Mackoliech wa Kenya kwa K,O Raundi ya 6 

Refarii Mark Hatia akimwesabia Bondia Bernad Mackoliech huku akimuamuluThomas Mashalikwenda katika kona nyeupe baada ya kumtwanga konde zito lililomsababisha kulamba sakafu wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki. Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template