*YANGA INAONGOZA BAO 1-0 MPIRA NI KIPINDI CHA PILI
Kikosi cha Yanga. Timu ya Yanga inaongoza kwa bao 1-0 bao lililofungwa na Jerry Tegete, kwa mkwaju wa penati, baada ya mchezi wa Yanga, Haruna Niyonzima, kuangushwa katika eneo la hatari, wakati akiwatoka mabeki wa Black Leopards.
Kikosi cha Black Leopards.
Mchezaji wa Yanga, Kabange Twite (kushoto) akimiliki mpira huku akidhibitiwa na beki wa Black Leopards, Nkosiabo Xakane, wakati wa mchezo huo.
Mashabiki wa Yanga, wakishangilia bao lililofungwa na Jerry Tegete. AKSANTE SUFIANI MAFOTO BLOG
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !