Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la Pili lililofungwa kwa penati na mchezaji Jerson Tegete dhidi ya timu ya Black Leopard ya Afrika Kusini, kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza
Kipa wa Black leopard Posnet Omony akishindwa kuokoa Penati iliyopigwa na Mchezaji wa yanga Jerson Tegete,katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza
Home »
» YANGA NA LEOPARDS MWANZA LEO
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !