Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa band" aka FFU yenye makao kule Ujerumani,inawatakiwa kila la heri na fanaka wadau wote katika kusherehekea siku kuu ya wafanyakazi duniani "Mei Mosi" (1st May).
Pongezi kwa Wafanyakazi wa sekta zote kuanzia wachuuzi,akina mama nitilie, wafanyakazi viwandani,maofisini, mashambani,wapagazi,wakokota mikokoteni n.k, Kazi ni kazi!
Baada ya kazi tufurahie Mei Mosi kwa kupata burudani kamili ya muziki kama vile "Bongo Tambarare" na Supu ya mawe, n.k at FFU camp click http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !