Ujerumani
inawatakia kila la heri na fanaka ya MIAKA 49 YA MUUNGANO wa jamuhuri ya TANZANIA, watanzania wote popote walipo.
Muungano wetu wa bara na visiwani ni muungano wa undugu wa damu. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ubariki Muungano wetu.
tafadhali msikose kupata burudani kamili at http://www.ngoma-africa.com au
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !