Yanya na Simba zinakutana Jumamosi zikiwa zimekamiana sana lakini kila timu na sababu zake. Wakati Yanga ambayo tayari imeshatwaa ubingwa ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, bila shaka itajitahidi kuhakikisha inaifunga simba ili kuonogesha ubingwa wake.
Wakati Yanga ikiwa katika mazinmgira hayo, Simba nayo lazima iifunge Yanga ili kuweka heshima japo ilimekwishavuliwa ubingwa.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !