Headlines News :
Home » » NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JAMBO SEEHEIM FESTIVAL, JUMAPILI HII, MJINI SEEHEIM,UJERUMANI

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JAMBO SEEHEIM FESTIVAL, JUMAPILI HII, MJINI SEEHEIM,UJERUMANI

Written By Bashir Nkoromo on Thursday, July 25, 2013 | 5:05 AM

Kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU ughaibuni kinatarajiwa kutingisha jukwaa la Jambo Seeheim  usiku wa jumapili 28.Julai 2013 kuanzia saa 2.00 usiku katika ukumbi wa Sport & Kulturhalle uliopo Berg Strasse, mjini Seeheim-Jugenheim, Ujerumani.
Bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya itavaana tena jino kwa jino na washabiki wa muziki katika International African Festival tubingen 2013 siku ya ijumaa ya 9 na 10 .08.2013 mjini Tubingen,South Germany.
        Wadau kaeni tayari tayari kwa gwaride la FFU wa Ngoma Africa band. Unataka kuwasikia FFU hawa?BOFYA HAPA au HAPA
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template