Headlines News :
Home » » BONDIA WA MAREKANI PHIL WILLIAMS ATUA NCHINI KUMKABILI CHEKA IJUMAA HI

BONDIA WA MAREKANI PHIL WILLIAMS ATUA NCHINI KUMKABILI CHEKA IJUMAA HI

Written By Bashir Nkoromo on Tuesday, August 27, 2013 | 9:26 PM


Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na bondia Phil Williams wa marekani baada ya kutua nchini kwa ajili ya mpambano wake na Francis Cheka utakaofanyika August 30 siku ya ijumaa hii  katika ukumbi wa Diamon Jubilee jijini Dar es salaam. 
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni wadau waliokuja kulaki uwanja wa ndege baada ya kutua usiku wa kuamkia leo
Mdau wa michezo nchini Saidi kindeka kushoto akiwa na Bondia Phil Williams wa Marekani
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni wadau waliokuja kulaki uwanja wa ndege baada ya kutua

Bondia Phil Williams wa marekani akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBU
Bondia Phil Williams wa Marekani. Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template