Headlines News :
Home » » CHAMA CHA NGUMI MKOA WA DAR ES SALAAM 'DABA' WAPATA VIONGOZI WAO

CHAMA CHA NGUMI MKOA WA DAR ES SALAAM 'DABA' WAPATA VIONGOZI WAO

Written By Bashir Nkoromo on Saturday, September 21, 2013 | 9:36 PM

Baadhi ya viongozi waliochaguluwa kuendesha chama cha mchezo wa masumbwi Mkoa wa Dar es salaam DABA wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa uchaguzi huo Zuwena Kipingu  katikati pamoja na mwangalizi mkuu wa uchaguzi Remmy Ngabo kulia Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Add caption

Mwenyekiti wa Mkutano wa Uchaguzi wa viongozi wa mchezo wa Masumbwi Mkoa wa Dar es salaam Zuwena Kibena katikati akizungumza baada ya kumalizika uchaguzi huo na kupatikana viongozi wake Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Baadhi ya wajumbe kutoka klabu ya Ashanti ya Ilala wakifatilia uchaguzi huo kutoka kushoto ni Emanuel Mgaya, Hamisi Manyota na Juma Mwalimu  wakifatilia uchaguzi mkuu wa chama cha mchezo wa ngumi mkoa wa Dar es salaam 'DABA' ULIOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI KATIKA UKUMBI WA ddc mLIMANI

BONIA KALAMA NYILAWILA AKIFATILIA UCHAGUZI HUO

Mweka hazina wa klabu ya Ashanti ya Ilala Emanuel Mgaya akitumbukiza kula yake
Mngombea wa nafasi ya makamu Mwenyekiti Timithi Kingu akijinadi wakati wa kuomba kula
Baadhi ya viongozi wakipiga kula za kuchagua viongozi watakaokiongoza chama cha mchezo wa ngumi Mkoa wa ar es salaam DABA
MMOJA YA MJUMBE ALIYEOMBA  NAFASI YA KATIBU MKUU WAMBOI MANGORE AKIJINADI KWA WAPIGA KULA
MMOJA YA WAJUMBE JAFARI NDAME AKIOMBA KULA ZA KUWA MJUMBE WA KAMATI YA  UHUSIANO HABARI NA MASOKO
Juma Uwesu akiomba kuchaguliwa kwa wapiga kula  ujumbe wa maendeleo ya vijana
Arnord Ngumbi akiomba nafasi ya ujumbe wa vilabu,wilaya na taasisi za umma
Mazimbo Ali akiomba kuwa mjumbe ili awaletee maendereo ya mchezo wa masumbwi kwa upande wa wanawake wanaojiunga na mchezo huo kuhakikisha wanashiriki kama wengine
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template