Headlines News :
Home » » THE LEGEND IS BACK 1ST ANNIVERSARY

THE LEGEND IS BACK 1ST ANNIVERSARY

Written By Bashir Nkoromo on Tuesday, September 24, 2013 | 11:44 PM

Siku tunayoisubiri kwa hamu inawadia Jumamosi hii. The Legend is Back first anniversary. Project ilianza kwa support yenu na ni mwaka sasa tunatimiza kwa sapport yenu. Tulianza pamoja karibu tujumuike tutimize mwaka tukiwa pamoja. Siku hii muhimu itaambatana na shindano kali la disco dancing toka kwa mabingwa wa zamani kuiwakilisha Morogoro Maneno Ngedere na toka DSM Athuman Diga Diga. Vile vile wakali wa chacha Africa Mashariki Moddy Jazz B na Sunday Boy watachuana vikali. Utakuwa vilevile na special moment of silence kuwakumbuka malegendari wa disco waliotutangulia mbele ya haki. Usikose mwana!, Ni J'mosi hii ya 28/9/2013 ndani ya Isumba Lounge. Wote mnakaribishwa
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template