Headlines News :
Home » » BONDIA LULU KAYAGE AJIFUA KWA KUZIPIGA NA FATUMA OMAR OKTOBER 26

BONDIA LULU KAYAGE AJIFUA KWA KUZIPIGA NA FATUMA OMAR OKTOBER 26

Written By Bashir Nkoromo on Tuesday, October 15, 2013 | 11:08 AM

Kocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini Habibu Kinyogoli kushoto akiwasimamia mazoezi bondia Lulu Kayage na Amir Shekh wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya mazoezi Ilala iliyopa Amana Dar es salaam leo 
BONDIA LULU KAYAGE BAADA YA KUMALIZA MAZOEZI AKIWA AMEPOZI
Mabondia Amir Shekhe kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Lulu Kayage wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Amana Dar es salaam jana Lulu ana jiandaa na mpambano wake na Fatuma Omari utakaofanyika Oktober 26 katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template