Headlines News :
Home » » FILAMU YA DASMILA KUANZA KUUZWA MWEZI HUU

FILAMU YA DASMILA KUANZA KUUZWA MWEZI HUU

Written By Bashir Nkoromo on Saturday, October 12, 2013 | 2:06 AM

FILAMU  ya DASMILA inatarajia kuingia sokoni mwishoni mwa mwezi huu akizungumza katika safu hiiMkurugenzi wa  DJ Marketing & Promotion ambao ndio wasambazaji wa kazi hiyo,Haulle Daniel amesema kazi hiyo ime kamilika kwa asilimia zote hivyo wapenzi wa filamu wakae mkao wa kula kwani imewashilikisha wasanii wengi akiwemo Shamsa Frod,Jack Pentzel, Elias Mkali, Shaban Dicosta na wasanii wengine wanaotamba katika anga za filamu nchini
Filamu hiyo ya mapenzi ambayo kuna mambo mbalimbali ya kuelimisha jamii ya kitanzania  ambapo
DASMILA aliyeuawa kipindi cha nyuma kidogo, arudi tena kama mzimu, na mengi yanatokea. Fuatilia.. Familia, vichekesho na vimbwanga, mapenzi, kukosa uaminifu, visa na mikasa kibao
 ambayo yatapatikana katika filamu hiyo ambayo imetengenezwa kwa ubora wa ali ya juu na itakayokuwa ikisambazwa na kampuni ya kizalendo ya DJ Marketing ya jijini Dar es salaam
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template