Headlines News :
Home » » YANGA YAICHARAZA 2-0 MTIBWA SUGAR, LEO UWANJA WA TAIFA

YANGA YAICHARAZA 2-0 MTIBWA SUGAR, LEO UWANJA WA TAIFA

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, October 6, 2013 | 12:45 PM

Mrisho Ngasa akimtoka beki wa Mtibwa Sunga. Paul George.
 Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Paul George.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia kwa staili ya aina yake baada ya mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa kuifungia timu hiyo bao la kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template