Headlines News :
Home » » KIMOBITEL NA WENZAKE WAFYATUA 'MISUKOSUKO'

KIMOBITEL NA WENZAKE WAFYATUA 'MISUKOSUKO'

Written By Bashir Nkoromo on Saturday, November 9, 2013 | 4:15 AM

MUIMBAJI nyota wa zamani wa bendi za Africans Stars, Extra Bongo na Double Extra, Khadija Kimobitel pamoja na wenzake wawili wanaounda kundi la Ndege wa3 wameachia wimbo wao mpya uitwao 'Misukosuko' walioimba kwa kumshirikisha Grayson Semsekwa.   Kutoka kushoto ni Paulyne Zongo, Khadija Mnoga (Kimobitel) na Joan Matovolwa.Wanamuziki hao watatu na wakongwe nchini ndio wanaounda kundi hilo linalojulikana kwa jina la NDEGE 3. Tayari wimbop huo imeshatolewa video na inapatika kwenye mtandao wa youtube. BIFYA HAPA
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template