Headlines News :
Home » » MPINGA CUP YAANZA RASMI LEO

MPINGA CUP YAANZA RASMI LEO

Written By Bashir Nkoromo on Friday, November 1, 2013 | 11:41 PM

100_0102 ACP. KAHATANO AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WADAU KUTOKA BE FORWARD JP MR. HIRONORI YAMAKAWA (KULIA )KWA AFANDE NA MR, JACKSON MMBANDO – MENEJA WA AIRTEL NA ZTO MKOA WA DAR ES SALAAM (ACP KONJA) WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU YAANI MPINGA CUP, MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM. 100_0105 ACP. J. KAHATANO AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WADAU KUTOKA BE FORWARD JP MR. HIRONORI YAMAKAWA KULIA KWA AFANDE NA MR. JACKSON MMBANDO – MENEJA WA AIRTEL NA ZTO MKOA WA DAR ES SALAAM ACP. A.KONJA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU “ MPINGA CUP” MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI POLISI MAKAO MAKUU DAR ES SALAAM. 100_0110 MR. JACKSON MMBANDO KUTOKA AIRTEL AKIFAFANUA MAMBO MUHIMU KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU JINSI WAO WALIVYOYADHAMINI MASHINDANO YA MPINGA CUP, MAZUNGUMZO HAYO YALIFANYIKA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA MBALIMBALI VYA MICHEZO WA MPIRA WA MIGUU YAANI MPINGA CUP, MASHINDANO YATAKAYO ANZA TAREHE 02/11/2013. MAKABIDHIANO HAYA YAMEFANYIKA LEO TAREHE 01/11/2013 MAENEO YA TRAFIKI MAKAO MAKUU DAR ES SALAA. 100_0115<!--[if gte mso 9]>
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template