Headlines News :
Home » » BALOZI PETER KALAGHE AKUTANA NA MSANII SHILOLE

BALOZI PETER KALAGHE AKUTANA NA MSANII SHILOLE

Written By Bashir Nkoromo on Wednesday, December 25, 2013 | 11:57 PM


Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Peter Kallaghe akiwa katika  mazungumzo na Msanii wa Muziki wa mduara nchini, Zuwena Mohamed 'Shilole' wakati alipotembelea Ubalozini nchini Uingereza.Shilole yupo nchini Uingereza kwa ajili ya shoo moja iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Ville 640 Ripple road ndani ya Barking IG11 0SR.kwa ushirikiano na Msanii mwenzake AT a.k.a Mfalme wa Mduara.
Balozi Peter Kalaghe akizungumza jambo na Mdau Ayoub Mzee aliongozana na msanii Shilole kwenye Ubalozini huo
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template