Headlines News :
Home » » TAMASHA LA UJASIRIAMALI CCM KIRUMBA, MWANZA LANOGA

TAMASHA LA UJASIRIAMALI CCM KIRUMBA, MWANZA LANOGA

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, December 15, 2013 | 10:10 PM

Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd na Mwalimu wa Ujasiriamali nchini, Eric James Shigongo akiwasalimia wakazi wa Mwanza leo.
Eric Shigongo akimkaribisha mkufunzi wa masuala ya ujasiriamali, James Mwang'amba aongee na wakazi wa Mwanza leo.
James Mwang'amba akitoa elimu ya ujasiriamali kwa wananchi wa Mwanza.
Masanja Mkandamizaji akiwavunja mbavu wakazi wa Mwanza kwa historia ya kusisimua ya maisha yake.
Wananchi wakifurahia somo kutoka kwa Masanja.
Masanja akifanya yake mbele ya wakazi wa Mwanza leo.

Wananchi wakijipatia vitabu vya Mtunzi Eric Shigongo.
Umati wa watu uliohudhuria Tamasha kubwa la Ujasiriamali linalofikia kikomo leo ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Wasanii chipukizi wa kizazi kipya wakitoa burudani katika tamasha hilo.
Watu wakizidi kumiminika ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa ajili ya tamasha hilo.
Wakazi wa jiji la Mwanza wamezidi kujipatia elimu ya ujasiriamali, vitabu na CD za Eric Shigongo na James Mwang'amba katika Tamasha kubwa la Ujasiriamali linalofikia kikomo leo jijini Mwanza. Tamasha hilo lilianza juzi (Ijumaa) ambapo walimu wa ujasiriamali Shigongo na Mwang'amba wametoa mbinu kwa watu wa Mwanza jinsi ya kuwa wajasiariamali mahiri. (PICHA: CHANDE ABDALLAH NA DENIS MTIMA / GPL, MWANZA)
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template