Headlines News :
Home » » JAHAZI YATIKISA KWA MUZIKI MKALI WA TAARAB DAR LIVE

JAHAZI YATIKISA KWA MUZIKI MKALI WA TAARAB DAR LIVE

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, January 19, 2014 | 4:04 AM


Mzee Yusuf akiwadatisha mashabiki waliofurika Dar Live.
Mzee Yusuf na wanenguaji wake kazini.
Umati wa mashabiki ukiserebuka.
Leila Mohamed akiwa kazini.
Shabiki akiserebuka.
Chidi Boy akikunguta kinanda.
Pozi la kinadada ndani ya Dar Live.
 
Mashabiki  na raha zao.
WAPENZI wa muziki usiku wa kuamkia leo waliburudika kwa mapigo ya bendi ya taarab ya Jahazi  katika onyesho la nguvu la kwanza kwa mwaka 2014 ndani ya uwanja wa Taifa wa Burudani Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.  (PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template