Headlines News :
Home » » MTEMVU AZINDUA MICHUANO YA UJIRANI MWEMA, ILIYOPIGWA MAKANGARAWE, TANDIKA

MTEMVU AZINDUA MICHUANO YA UJIRANI MWEMA, ILIYOPIGWA MAKANGARAWE, TANDIKA

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, January 26, 2014 | 9:06 PM

 Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akikagua timu ya Kigamboni, wakati akizingua michuano ya ujirani mwema kwa timu mbalimbali za soka wilayani Temeke, Jumapili, Januari 26, 2014. Michuano hiyo iliyohusisha timu kadhaa ilipigwa kwenye Uwanja wa Makangarawe.
 Mtemvu akikagua timu ya Kivule kabla ya timu hiyo kumenyana na  Kigamboni
 Wachezaji wa Kigamboni na Kivule wakionyeshana kazi
 Mpambano ukiendelea
Mchezaji wa New Kivule na wa Kitunda, wakipambana katika mechi iliyotangulia kabla ya ufunfuzi huo.Katika mechi hiyo Kitunda ilifungwa mabao 2-1
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template