Headlines News :
Home » » WANAMUZIKI WATAKAOSHIRIKI TAMASHA LA PASAKA KUPIGIWA KURA NA MASHABIKI

WANAMUZIKI WATAKAOSHIRIKI TAMASHA LA PASAKA KUPIGIWA KURA NA MASHABIKI

Written By Bashir Nkoromo on Wednesday, February 19, 2014 | 11:26 AM

Bw. Alex Msama Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka akizungumzia maandalizi ya tamasha hilo ambapo amesema utaratibu wa kuwapata waimbaji katika tamasha hilo mwaka huu waimbaji wote watakaoshiriki watapigiwa kura na mashabiki wa muziki wa injili ili kuleta ushindani kati ya waimbaji lakini pia kuwaachia mashabiki wenyewe wachague ni mwimbaji gani wanamuhitaji katika tamasha hilo badala ya kutumia utaratibu wa mwanzo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM) 2 
Dar es salaam.
  3 
Tamasha la Pasaka ndiyo tamasha pekee kubwa la muziki wa inijili linalofanyika kila mwaka nchini Tanzania likishirikisha waimbaji mbalimbali kutoka ukanda wa Maziwa Makuu, Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika na limekuwa ni kivutia kikubwa kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa injili.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template