Headlines News :
Home » » MWAITE JUMA AENDELEZA UBABE CHALINZE JUMA BIGLEE AMCHAKAZA JACK SIMELA

MWAITE JUMA AENDELEZA UBABE CHALINZE JUMA BIGLEE AMCHAKAZA JACK SIMELA

Written By Bashir Nkoromo on Wednesday, April 23, 2014 | 2:44 AM

Bondia Juma Biglee kulia akishambulia kwa makonde na Jack Simela wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema inn chalinze mjini mkoa wa pwani Biglee alishinda kwa point picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Juma Biglee akinyooshwa mkono juu baada ya kumshinda Jack Simela wa chalinze

Bondia Mwaite Juma kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa ndelema inn chalinze mkoa wa pwani juma alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template