Headlines News :
Home » » WAZIRI NAPE AKABIDHIWA UWANJA WA UHURU LEO BAADA YA WACHINA KUKAMILISHA UKARABATI MKUBWA

WAZIRI NAPE AKABIDHIWA UWANJA WA UHURU LEO BAADA YA WACHINA KUKAMILISHA UKARABATI MKUBWA

Written By Bashir Nkoromo on Monday, August 22, 2016 | 9:36 AM

 Mhandisi Mshauri Bw Aloyce Moshi(Kulia) akitoa ufafanuzi kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(katikati)  kuhusu matengenezo yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru , kushoto kwake ni  katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akijadiliana jambo na katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel wakati alipokuwa akikagua matengenezo ya Uwanja wa Uhuru leo Agosti 22 , 2016 kulia ni Mhandisi Mshauri Bw Aloyce Moshi  
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) akiangalia eneo ambalo limetengwa kwa ajili ya ujenzi wa ofisi  mbalimbali   kulia ni katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel  na kushoto ni Mhandisi Mshauri Bw Aloyce Moshi.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari wakati wa makabidhiano ya Uwanja wa Uhuru leo Agosti 22,2016
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiangalia nyasi za Uwanja wa Uhuru mara baada ya kukabidhiwa uwanaja huo baada ya matengenezo leo Agosti 22,2016 
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(katikati)  akijadiliana jambo na katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (wa pili kulia) wakati alipokuwa akikagua matengenezo ya Uwanja wa Uhuru leo Agosti 22 , 2016 kulia ni Mhandisi Mshauri Bw Aloyce Moshi.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akiweka saini makabidhano ya Uwanja wa Uhuru  kati ya Serikali na Kampuni ya BCEG ya China leo Agosti 22,2016.
 Meneja wa kampuni  BCEG Bw. Cheng Longhai akiweka saini makabidhano ya Uwanja wa Uhuru  kati ya Serikali na Kampuni yake ya  BCEG leo Agosti 22,2016.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel(kulia) akionesha  hati ya makabidhiano ya Uwanja wa Uhuru kwa waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa matengenezo ya uwanja huo leo Agosti 22,2016 (katikati ) ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari na wadau wa michezo mara baada ya makabidhiano ya Uwanja wa Uhuru leo Agosti 22,2016. 
Muonekano wa Uwanja wa Uhuru mara baada ya matengenezo. Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template