Headlines News :
Home » » SEREGETI BOYS YAICHAPA CONGO BRAZAVILLE 3-2, UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO, NAPE AAHIDI KUWAPA MILIONI 1.5 ZA MABAO MATATU

SEREGETI BOYS YAICHAPA CONGO BRAZAVILLE 3-2, UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO, NAPE AAHIDI KUWAPA MILIONI 1.5 ZA MABAO MATATU

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, September 18, 2016 | 11:27 AM

 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwasili katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kushuhudia mechi kati ya Serengeti Boys na Congo Brazaville ambapo Serengetri iliibuka na ushindi wa Goli 3 kwa 2
 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akishanglia pamoja na mashabiki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha kwanza katika mechi kati ya Serengeti Boys na Congo Brazaville ambapo Serengetri iliibuka na ushindi wa Goli 3 kwa 2
 Mshambuliaji wa Serengeti Boys Yohana Oscar Nkomolo akishangilia mara baada ya kufunga bao la pili dhidi ya Congo Brazaville katika Uwanja  wa Taifa Jijini Dar es Slaam Serengeti ilishinda kwa jumla ya goli 3 kwa 2
 Mshambuliaji wa Nyukano Uwanjani katika ya mchezaji wa Serengeti Boys na Congo Brazaville katika Uwanja  wa Taifa Jijini Dar es Slaam Serengeti ilishinda kwa jumla ya goli 3 kwa 2
 Mshambuliaji wa Nyukano Uwanjani katika ya mchezaji wa Serengeti Boys na Congo Brazaville katika Uwanja  wa Taifa Jijini Dar es Slaam Serengeti ilishinda kwa jumla ya goli 3 kwa 2
 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wachezaji wa Serengeti Boys na waandishi wa habari  Jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizika kwa mechi yao dhidi ya Congo-Brazaville iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Septemba 18,2016 Serengeti ilishinda kwa jumla ya goli 3 kwa 2
 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwapongeza wachezaji wa Serengeti Boys Jijini Dar es Salaam mara  baada ya  kumalizika kwa mechi yao dhidi ya Congo-Brazaville iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Septemba 18,2016 Serengeti ilishinda kwa jumla ya goli 3 kwa 2
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Vijana ya Serengeti Boys wakiwashukuru mashabiki mara baada ya katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizika kwa mechi kati yao na Congo Brazaville ambapo Serengeti Boys iliibuka na ushindi wa goli 3 kwa 2
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template