Home »
» SIMBA ILIPOTOTA KWA AZAM MJINI ZANZIBAR JANA
SIMBA ILIPOTOTA KWA AZAM MJINI ZANZIBAR JANA
Written By Bashir Nkoromo on Saturday, January 14, 2017 | 8:40 AM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwasalimia wachezaji wa Timu ya Simba kabla mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwasalimia wachezaji wa Timu ya Azam kabla mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na wachezaji wa Timu ya Azam kabla mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na waamuzi kabla mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na wachezaji wa Timu ya Simba kabla mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,
Mashabiki wa Simba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwavalisha nishani wachezaji wa Timu ya Simba wakiwa washindi wa pili Kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kumalizika mchezo wa Fainali a Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja, Azam walitoka kifua mbele kwa 1-0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabishi Kitita cha Shilingi za Kitanzania Millioni Tano Nahodha wa Timu ya Simba Jonas Mkude baada ya mechi ya Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2017 kati ya Azam na Simba ambapo Azam walitoka kifua mbele kwa 1-0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwavalisha nishani wachezaji wa Timu ya Azam baada ya kumalizika mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup kati ya Azam na Simba na kutoka 1-0 katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja jana. PICHA ZOTE NA IKULU
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !