Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI Tanzania, Godfrey Simbeye, akimkabidhi Kombe, Nahodha wa timu ya
Tanzania Prisons, Laurian Mpalile, baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Yanga U20 katika mchezo wa
Hisani wa fainali wa kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini
Mbeya mwishoni mwa wiki. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania TACAIDS, Dk. Leonard
Maboko (kulia kwake) ni Katibu wa TFF Mkoa wa Mbeya, (kushoto) ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Tume ya Taifa ya kudhibiti
Ukimwi Tanzania TACAIDS, Elizabeth Kaganda.
Mshambuliaji wa Yanga U20, Said Mussa (kushoto) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa Tanzania Prisons, Mohamed
Rashid, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye
Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika
dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel
Geryson katika dakika ya 90.
Mshambuliaji wa Yanga U20, Samwel Geryson (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Tanzania Prisons, James Mwasote, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90.
Mshambuliaji wa Yanga U20, Festo Geryson (kushoto) akiwania mpira na beki wa Tanzania Prisons, James Mwasote, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90.
Beki wa Yanga U20, Mawazo Gawasa (kushoto) akiruka kuwania mpira na mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Mohamed Rashid, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90.
Mshambuliaji wa Yanga U20, Paul Godfrey (kushoto) akiruka kupiga mpira wa kichwa huku akizongwa na beki wa Tanzania Prisons, James Mwasote, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Kulia ni Samwel Garyson akisubiri kutoa msaada. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90.
Beki wa Yanga U20, Mohamed Nassor (kulia) akipiga krosi huku Salum Bosco wa Tanzania Prisons, akijaribu kuzuia wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Mshambuliaji wa Yanga U20, Yusuph Mhilu (kulia) akimtoka beki wa Tanzania Prisons, Sharif Shaban, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90.
Nahodha wa timu ya Yanga U20, Ayoub Mohamed (katikati) akiwatoka mabeki wa Tanzania Prisons, James Mwasote (kushoto) na Salum Kumenya, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90.
Gor gor gor goooooor gooooooor
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania TACAIDS, Dk. Leonard
Maboko, akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mchezo huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI Tanzania, Godfrey Simbeye, akihojiwa na mwandishi wa habari baada ya kumalizika mashindano hayo.
Picha ya pamoja timu ya Tanzania Prisons baada ya kukabidhiwa kombe hilo.
Wakivishwa medali
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !