Katika kutafuta ukweli wa mambo ilikuweza kuhakikisha je ni kweli amesema hivyo kwa watu, Mwandishi wetu wa burudani bwana DMK alimpigia simu meneja wa Justin nakumuuliza lakini alikanusha nakusema bwana mdogo huyo amekuwa akikaa kifua wazi kwasababu summer hii joto ni kali sana na mwanamuziki huyo anashindwa kuvumilia, alipomwomba kuongea na Justin mwenyewe meneja huyo alimkatia simu.Tutaendelea kufatilia zaidi ili tuweze kupata ukweli je ni kwanini Justin Bieber siku hizi anapenda kukaa kifua wazi? ama Je ni kwasababu anaenda Jimu sana au?....endelea kusoma Swahili TV blog na kupitia website yetu www.swahilitv.info
Home »
» SWAHILI TV YALONGA NA MENEJA WA JUSTIN BIEBER "JUSTIN KUKAA KIFUA WAZI"
SWAHILI TV YALONGA NA MENEJA WA JUSTIN BIEBER "JUSTIN KUKAA KIFUA WAZI"
Written By CCM Blog on Friday, July 19, 2013 | 9:50 AM
Katika kutafuta ukweli wa mambo ilikuweza kuhakikisha je ni kweli amesema hivyo kwa watu, Mwandishi wetu wa burudani bwana DMK alimpigia simu meneja wa Justin nakumuuliza lakini alikanusha nakusema bwana mdogo huyo amekuwa akikaa kifua wazi kwasababu summer hii joto ni kali sana na mwanamuziki huyo anashindwa kuvumilia, alipomwomba kuongea na Justin mwenyewe meneja huyo alimkatia simu.Tutaendelea kufatilia zaidi ili tuweze kupata ukweli je ni kwanini Justin Bieber siku hizi anapenda kukaa kifua wazi? ama Je ni kwasababu anaenda Jimu sana au?....endelea kusoma Swahili TV blog na kupitia website yetu www.swahilitv.info
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !