Headlines News :
Home » » SERENGETI SOCCER BONANZA ILIVYOFANA TCC CLUB, TMK

SERENGETI SOCCER BONANZA ILIVYOFANA TCC CLUB, TMK

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, July 15, 2012 | 3:09 AM

Refa wa siku nyingi, Kazi (kulia) akisimamia maandalizi ya uwanja kabla ya kuanza michuano ya  Bonanza la Soka lililoandaliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti, kwenye Viwanja vya TCC Club, Temeke, Dar es Salaam.
 Kazi akimuonya mchezaji wa Barcelona kwa kumchezea rafu mchezaji wa Chelsea katika mechi wa kuwania kuingia fainali. ambapo Barca iliingia fainali.
 Wakati bonanza likiendelea baadhi ya wadau wakawa wanapiga 'kilaji' kauta'
 Mbali na kaunta ya Club ya TCC, pia nje kwenye viwanja vya bonanza kulikuwa na kaunta zilizonona kama hii
 Mashabiki wa Chelsea
 Mashabiki wa Man U
 Mashabiki wa Man U wakimbeba kipa wao baada ya kupangua penali ya mwisho ya Barcelona na hivyo kuifanya timu hiyo kuibuka mshindi kwa mabao 5-4
 Shabiki wa Man United akihanikiza furaha yake kwa kupuliza vuvuzela
 Wasanii wa kikundi cha hamasa promoshenbi za kampuni ya serengeti wakiburudisha mashabiki
 Man United wakishikana kushangilia ushimndi wao ambao pamoja na kombe walijipatia sh. milioni moja na kreti kadhaa za kilaji cha bia ya Serengeti
 Nahodha wa Baecelona Khalid Abeid akikabidhiwa kombe baada ya timu yake kuibuka mshindi wa pili. Pamoja na kombe pia mshindi huyo amepata sh. 500,000. Katikati ni meneja wa Bia ya Serengeti Allan Chonjo.
 Hapa ni wakati Chelsea wakitifuana na  Arsenal katika kusaka kuingia nusu fainali
 Hapa ni wakati wa mbinde ya kumpata mshindi kati ya Barcelona na Man United. ambapo katika muda wa kawaida zilidroo na hatimaye Man U wakaibuka ushindi wa mabao 5-4 katika mikwaju ya penalti
 Nahodha wa Man United  James Silwa akikabidhiwa kombe na viongozi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti waliosimamia bonanza hilo
 Man U wakishangilia ushindi
 Hii ndiyo penalti iliyowaliza Barcelona baada ya kupanguliwa na kipa wa Man U

Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template