Headlines News :
Home » » YANGA YAANZA VIBAYA KAGAME CUP, YAPIGWA 2-0 NA ATLETICO

YANGA YAANZA VIBAYA KAGAME CUP, YAPIGWA 2-0 NA ATLETICO

Written By Bashir Nkoromo on Saturday, July 14, 2012 | 12:58 PM

Mchezaji wa timu ya Yanga, Juma Abdul, akichuana kuwania mpira na beki wa Atletico, Henry Mbazumutima, wakati wa mchezo wao wa fungua dimba ya michuano ya kombe la Kagame, uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Michuano hiyo inaandaliwa na Shirikisho la vyama vya mpira wa miguu Afrika Mashariki CECAFA. Katika mchezo huo Yanga imeanza vibaya michuano hiyo kwa kufungwa mabao 2-0 na Atletico
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template