Headlines News :
Home » » MASHINDANO YA BancABC SUP8R YAZINDULIWA RASMI

MASHINDANO YA BancABC SUP8R YAZINDULIWA RASMI

Written By Bashir Nkoromo on Friday, August 3, 2012 | 9:22 AM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Muunganiko wa Makampuni ya BancABC, Douglas Munatsi(kulia) akimkabidhi Makamu wa kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Athuman  Nyamlani kwa ajili ya mashindano ya BancABC SUP8R wakati wa uzinduzi rasmi uliofanyika Dar es Salaam.
 Uongozi wa BancABC na TFF wakiwa wameshikira Kombe kuashira Baraka njema na kutakia mashindano mema ya BancABC SUP8R .Kutoka Kulia ni Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Hoseah,Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Athuman  Nyamlani,Mkurugenzi Mtendaji wa BancABC Nchini,Boniphace Nyoni na Mkurugenzi Mtendaji wa Muunganiko wa Makampuni ya BancABC, Douglas Munatsi
Picha ya Pamoja ya Uongozi wa BancABC,Mabalozi wa BancABC kutoka Kampuni ya Integreted Comminications na Kombe.
Picha ya Pamoja ya Uongozi wa BancABC,Mabalozi wa BancABC kutoka Kampuni ya Integreted Comminications na Kombe.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template