Headlines News :
Home » » KLABU YA LUGALO BINGWA DARTS VILABU VYA MCHEZO HUO DAR

KLABU YA LUGALO BINGWA DARTS VILABU VYA MCHEZO HUO DAR

Written By Bashir Nkoromo on Monday, September 17, 2012 | 9:03 AM

Meneja mauzo wa Kinondoni na Ilala wa Kampuni ya Bia Tanzania, Victor Kavishe (wa pili kushoto) akimkabidhi Kikombe nahodha wa Klabu ya Lugalo, Eliutha Shawa mara baada ya kuibuka mabingwa wakati wa mashindano  Safari Darts kwa Vilabu vya Mkoa wa Dar es Salaam.Kushoto ni Mwenyekiti wa Darts Mkoa wa Dar es Salaam.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template