Headlines News :
Home » » MASHINDANO YA MaDJ NA MaMC YA 'STR8MUZIK FREESTYLE 2012' YALIYOFANYIKA JIJINI MWANZA JUZI KATI

MASHINDANO YA MaDJ NA MaMC YA 'STR8MUZIK FREESTYLE 2012' YALIYOFANYIKA JIJINI MWANZA JUZI KATI

Written By Bashir Nkoromo on Thursday, September 27, 2012 | 8:42 AM

 Mmoja wa wanakundi cha waburudishaji cha BFB cha mkoani Mwanza akifanya vitu vyake katika mpambano wa kusaka ma-MCs na DJs wa STR8MUZIK Freestyle 2012 mkoani mwanza uliofanyika katika ukumbi wa Stone mjini humo jana usiku.(Picha ya Excutive Solutions)
 Msanii wa kizazi kipya Easy Business ambaye ni maarufu kwa kibao chake cha “Ongea na Mshua” akitumbuiza katika mpabano wa STR8MUZIK 2012 FreeStyle Mwanza
 Mashabiki wa ST8MUZIK Freestyle 2012 mkoani Mwanza wakiwa wamembeba juu MC bora wa mwaka mkoani humo Joash Magadula katika mpambano uliofanyika jana usiku katika ukumbi wa Stone mjini humo.(Picha ya Executive Solutions)
 Mashabiki ukumbini
 Mashbaiki wakitazama mchuano
 Mshindi wa mpambano wa ma-DJ wa ST8MUZIK Freestyle 2012 mkoani mwanza DJ Juma Ramadhani(Kati) akitumbuiza mara baada ya kukabidhiwa chombo cha kupigishia muziki chenye thmani ya Sh mil 7 na Meneja wa TCC Mkoa wa Mwanza Deogratius Kamugisha(Kulia), huku mshindi wa upande wa ma-MC mkoani humo Joash Magadula akishuhudia na zawadi yake mkononi.(Picha ya Executive Solutions)
 Meneja wa TCC Mkoani Mwanza Deogratius Kamugisha akimkabishi tuzo MC bora wa ST8MUZIK Freestyle 2012 mkoani Mwanza Joash Magadula katika mpambano uliofanyika katika ukumbi wa Stone mjini humo jana.(Picha ya Executive Solutions)
Meneja wa TCC tawi la Mwanza, Bw Deogratius Kamugisha (Katikati) akipozi na washindi wa mpambano wa ma MCs na DJs STR8MUZIK Freetyle 2012 mkoani mwanza. Kutoka kushoto ni Mshindi wa pili wa DJs Ruyobya Johannes a.k.a DJ Yt,Mshindi wa kwanza kwa DJs Juma Ramadhani,Msindi wa Pili katika kategori ya ma-MCs Nchana Antony na Mshindi wa MCs Joash Magadula a.k.a MC Magadash.(Picha ya Executive Solutions)
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template