Headlines News :
Home » » SHINDANO LA UCHORAJI KWA TAASISI ZA ELIMU

SHINDANO LA UCHORAJI KWA TAASISI ZA ELIMU

Written By Bashir Nkoromo on Tuesday, September 25, 2012 | 6:36 AM

Shindalo la Uchoraji Kwa Taasisi za Kielimu Image Profession ikishirikiana na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa mara nyingine inatangaza kuanza kwa muhula mpya wa pili wa Shindano ya Uchoraji maalumu kwa Taasisi za elimu. Shindano ambalo pia linajulikana Kama: Educational Drawing Competition au Image Profession Educational Drawing Competition, lina malengo ya kuibua vipaji katika fani ya uchoraji kwa kuzingatia uwekezaji kwa watoto na vijana. Theme/Wazo kuu la mwaka huu: ART IMITATES LIFE au SANAA HUFUATISHA MAISHA Makundi ya ushiriki Chekechea, Elimu ya Msingi, Elimu ya Sekondari na Elimu ya Juu Kwa maelezo na taratibu za Shindano tembelea Facebook Page/Group “ HYPERLINK "http://www.facebook.com/groups/340300676062057/" Tanzania Drawing Competition ” au wasiliana na BASATA au DRAWING COMPETITION – IMAGE PROFESSION, P O BOX 92 DAR ES SALAAM. SIMU: +255 222 664 740 / +255 713 484 040 / +255 714 676 217 / +255 716 430 084 EMAIL: HYPERLINK "mailto:info@imageprofession.com" info@imageprofession.com
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template