Headlines News :
Home » » KUIONA SERENGETI BOYS NUSU BUKU, KARUME, KESHO

KUIONA SERENGETI BOYS NUSU BUKU, KARUME, KESHO

Written By Bashir Nkoromo on Tuesday, September 25, 2012 | 6:41 AM


Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) baada ya ziara ya Mbeya imerejea Dar es Salaam ambapo inaendelea na maandalizi na kesho (Septemba 26 mwaka huu) itacheza mechi ya kirafiki na timu ya daraja la kwanza ya Ashanti United.
 
Mechi hiyo itachezwa Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni kwa kiingilio cha sh. 500 tu.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template