Headlines News :
Home » » SIMBA YAILAMBA AZAM 3-2 NGAO YA JAMII

SIMBA YAILAMBA AZAM 3-2 NGAO YA JAMII

Written By Bashir Nkoromo on Wednesday, September 12, 2012 | 2:29 AM

 Naibu waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akikabidhi ngao ya hisani kwa kipa wa Simba, Juma Kaseja, baada ya timu hiyo kuitwaa ngao hiyo kwa kuifunga Azam FC mabao 3-2, katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
 Abdulhalim Humud- Azam (kushoto) akipambana na Ramadhani Chombo- Simba wakati wa mechi hiyo
 Erasto Nyoni-Azam  na Nassor Masoud-Simba wakipimana ubavu kuwania mpira wakati wa mechi hiyo
 Mshambuliaji wa Simba Mrisho Ngassa akitafuta njia ya kumpita mchezaji wa Azam
Moja ya hekaheka kwenye lango la Azam FC
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template