Home »
» DK. BILAL MAZOEZINI
DK. BILAL MAZOEZINI
Written By Bashir Nkoromo on Sunday, October 7, 2012 | 11:00 AM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki mazoezi ya viungo baada ya kumaliza kushiriki na kuhitimisha matembezi ya hisani ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kujenga uwezo wa Wahandisi wa Tanzania, yaliyoandaliwa na Wahandisi hao (Local Engineers). Matembezi hayo yalianzia katika Viwanja vya Karimjee jijini na kumalizikia katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 7, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !