Headlines News :
Home » » SHERIA SPORTS CLUB YASHINDA MCHEZO WA BAO KWENYE SHIMIWI

SHERIA SPORTS CLUB YASHINDA MCHEZO WA BAO KWENYE SHIMIWI

Written By Bashir Nkoromo on Tuesday, October 9, 2012 | 11:17 AM

 Wanamichezo wa Sheria Sports Club wakiwa kewnye maandano wakati wa sherehe za kufunga michezo ya SHIMIWI Mkoani Morogoro jumamosi tarehe 6 Oktoba, 2012.
 Mshindi wa tatu wa mchezo wa bao kwa wanawake Bibi Salome Sumbi kutoka Sheria Sports club akipokea kombe la ushindi huo kutoka kwa mgeni rasmi.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Moses Chitama (aliyeshika kombe) akifurahi na wanamichezo wa Sheria Sports Club mara baada ya mshindi wa tatu wa mchezo wa bao kwa wanawake Bibi Salome Sumbi (wa kwanza kushoto kwa Bw. Chitama) kukabidhiwa kombe hilo.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template