Headlines News :
Home » » YANGA NA SIMBA KUANZA KUNYUKANA SAA MOJA JIONI HII UWANJA WA TAIFA

YANGA NA SIMBA KUANZA KUNYUKANA SAA MOJA JIONI HII UWANJA WA TAIFA

Written By Bashir Nkoromo on Wednesday, October 3, 2012 | 5:10 AM

Timu za Yanga na Simba zote za jijini Dar es salaam, jioni hii zitaumana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, huku kila moja ikitamba kuibuka na ushindi katika mechi hiyo ambayo ni ya awali kwa timu hizo kukutana katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Daily Nkoromo Blog inazitakia timu hizo kila moja nushindi mwema
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template