Headlines News :
Home » » VODACOM NA MSHIRIKA WAKE KIBIASHARA FTS SERVICES LTD WAWARUSHA WATEJA WAO KISIWA CHA MBUDYA, DAR ES SALAAM

VODACOM NA MSHIRIKA WAKE KIBIASHARA FTS SERVICES LTD WAWARUSHA WATEJA WAO KISIWA CHA MBUDYA, DAR ES SALAAM

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, November 4, 2012 | 8:36 PM


Hapa ndio Kisiwa cha Mbudya ambapo Vodacom imewapeleka wateja wake kwa ajili ya mapumziko ya week end jumamosi ya jana.

Vipeperushi vya Vodacom

Wateja na wafanyakazi wa Vodacom
Kushoto ni Steve Goyayi kutoka Stanbic Bank, wa tatu kutoka kushoto Asubisye Mwakatobe kutoka Vodacom na wengine ni baadhi ya wageni washiriki kutoka world Bank
Katikati ni Abdallah Singano kutoka Stanbic na kulia ni CEO wa MSD
Wadau katika boti
Kutoka kushoto Steve Goyayi, Henry Kapinga na Abdallah Singano
Baadhi ya wafanyakazi kutoka Vodacom 
Kushoto ni Idd Mbita Mkurugenzi wa FTS Services akiwa na Joseph Kusaga CEO wa Clouds FM na TV mwenye Tshirt ya kijani.
Wateja na wafanyakazi wa vodacom wakishuka kwenye boti maalum iliyokodiwa kwa ajili yao.
Kulia ni Henry Kapinga meneja mauzo wa FTS Services ltd akipiga picha ya kumbukumbu na CEO wa Clouds Joseph Kusaga
Wadau kutoka Vodacom wakipata vinywaji ndani ya kisiwa cha Mbudya
Rosalynn kutoka vodacom akiwashukuru wateja kwa kushiriki
Idd Mbita kutoka FTS Services akiwashukuru wateja kwa kushiriki na kuwaomba tudumishe ushirikiano wetu. Vodacom Tanzania wakishirikiana na Business Partner wake FTS Services jana waliwapeleka wateja wao katika Kisiwa cha Mbudya kilicho katika bahari ya Hindi. PICHA ZOTE NA MPIGAPICHA MAALUM
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template