Headlines News :
Home » » MIYEYUSHO NA NASSIBU WAPIMA UZITO LEO.

MIYEYUSHO NA NASSIBU WAPIMA UZITO LEO.

Written By Bashir Nkoromo on Saturday, December 8, 2012 | 8:05 AM





Bondia Said Mundi wa Tanga kushoto akitunishiana misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es Salaam
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipimwa Afya na Dkt, Kalaga wakati wa maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mpambano wake na Saidi Mundi wa Tanga wa pili kulia wengi kulia ni Promota wa mpambano huo Mohamed Bawazir na wa pili Kushoto ni Mratibu wa Mpambano huo Paul kunambi

Promota ya mpambano wa masumbwi Mohamed Bawazir katikati akiwa na baazi ya mabondia
Baazi ya mashabiki wakishangilia wakati wa upimaji uzito wa mabondia watakaopambana katika ukumbi wa PTA sabasaba siku ya 9 desemba

Bondia Fransic Miyayusho akipima uzito kwa ajili ya kumkabiri Nassibu Ramadhani kushoto mpambano wao wa ubingwa wa WBF utakaofanyika kesho 9 desemba katika ukumbi wa PTA Sabasaba

Bondia Nassibu Ramadhani kushoto akitunishina Msuri na bondia Fransic Miyeyusho wakati wa uipimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao wa 9 Desemba
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya kumkabili mpinzani wake Said Mundi kushoto mpambano utakaofanyika Desemba 9.
Bondia Said Mundi wa Tanga kushoto akitunishiana misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es Salaam
Bondia Said Mundi wa Tanga kushoto akitunishiana misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template