Headlines News :
Home » » VIJANA JAZZ YAIBUKA UPYA, YAIPUA VIBAO VIWILI VIPYA

VIJANA JAZZ YAIBUKA UPYA, YAIPUA VIBAO VIWILI VIPYA

Written By Bashir Nkoromo on Friday, December 14, 2012 | 10:10 PM

Wanamuziki wa bendi ya Vijana Jazz, ' Wana Saga Rhumba, Air pambamoto' wakiimba wimbo wao mpya wa Utanieleza nini', bendi hiyo ilipotumbuiza usiku wa kuamkia leo, kwenye ukumbi wa Masae Bar, Kawe, mjini Dar es Salaam. Kutoka kulia,  Saburi Athumani (Kiongozi wa bendi), Abdallah Mgona Hazelu (Katibu wa bendi), Nuru Mhina 'Baby Whiye' na Roshi Mselela.
 Shabiki Eddy Mlaponi na patna wake wakijimwaya mwaya ukimbini
 Kiongozi wa Vijana Jazz Saburi Athuman, akiiba onyesho la Masae Bar, Kawe.
 Katibu wa Bendi Abdallah Mgona Hazelu akiimba
 Nuru Mhina 'Baby White' akiimba kibao cha Wifi zangu Mna mambo' cha bendi hiyo
 Roshi Mselela
Mohamed Kanduru akionyesha umahiri wake wa kupuliza tarumbeta
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template