Headlines News :
Home » » AMIA WAJITOKEZA KUMZIKA BONDIA DOTO KIPENGA

AMIA WAJITOKEZA KUMZIKA BONDIA DOTO KIPENGA

Written By Bashir Nkoromo on Wednesday, January 2, 2013 | 9:57 AM



Bondia wa timu ya Taifa Selemani Kidunda mbele akiwa amebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya Kigogo Mburahati siku ya Januar Mosi 


Bondia wa timu ya Taifa  ya Masumbwi Selemani Kidunda akiwaongoza wenzie kulibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya Kigogo Mburahati siku ya Januar Mosi 
Bondia wa ngumi za kulipwaJaphert Kaseba akiwaongoza wenzie kulibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya Kigogo Mburahati siku ya Januar Mosi 
Bondia wa ngumi za kulipwaJaphert Kaseba akiwaongoza wenzie kulibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika makabuli ya Kigogo Mburahati siku ya Januar Mosi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template